Msaada tafadhali

Msaada tafadhali

Faru dume

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
471
Reaction score
116
Wanajamvi,msaada wa jinsi ya kuposti video kwenye ukurasa wa Vodacom wa Fb..tafadhali nisaidieni kwa hili.
NAWASILISHA
 
unafanya kazi na vodacom? hizo video zipo online au offline? ni za nani hizo video?
 
Wanajamvi,msaada wa jinsi ya kuposti video kwenye ukurasa wa Vodacom wa Fb..tafadhali nisaidieni kwa hili.
NAWASILISHA

upload youtube kisha link ipeleke kwenye page ya voda , bahati inaweza kuwa yako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom