M Mpigaji JF-Expert Member Feb 6, 2011 384 42 Oct 18, 2012 #1 Naomba kufahamishwa mahali ambapo nitapata hostel za kupanga Mjini Dodoma za bei nafuu.Yeyote mwenye kujua tafadhali ani PM au anibeep 0762838996.Naomba ushirikiano wenu wadau wa JF.
Naomba kufahamishwa mahali ambapo nitapata hostel za kupanga Mjini Dodoma za bei nafuu.Yeyote mwenye kujua tafadhali ani PM au anibeep 0762838996.Naomba ushirikiano wenu wadau wa JF.