Msaada Tafadhali! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada Tafadhali!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Msindima, May 2, 2009.

 1. M

  Msindima JF-Expert Member

  #1
  May 2, 2009
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,018
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Jamani naomba kupata msaada katika hili,swali langu ni hili,mfano mkataba wangu mahali napofanyia kazi umeisha,baada ya kuisha nikalipwa haki zote za kumaliza mkataba,na pia nikatakiwa kusign mkataba mwingine lakini bosi anazungusha kila unapouliza anakwambia mwisho wa mwezi na hapo hapo tayari ameshakutengenezea kitambulisho kinachoonyesha kuwa wewe ni mfanyakazi wa kampuni hiyo mpaka 2011,na pia kwenye swala la mshahara anakwambia kuwa nyongeza yako ya mshahara haitakuwa included kwenye salary yako na badala yake unalipwa tofauti i mean haiko kwenye kwenye maandishi yoyote,my question is kuna vifungu vya sheria ambavyo vinaweza kutumika kumbana huyu mwajiri?kumbuka tayari ameshakuandalia kitambulisho, nahitaji ufafanuzi wenu katika swala hili.Have a nice week-end all jf members
   
 2. The Farmer

  The Farmer JF-Expert Member

  #2
  May 2, 2009
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,586
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
Loading...