Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,539
- 10,006
Mfano Madrid wanamtaka Jude Bellingham basi wamwambie ingia mitini halafu ukiwa ukiwa mitini nenda kwenye Shirikisho la Mpira Ujeruman uwaambie wavunje mkataba wake na Dortmund sababu huipendi na analipwa mshahara mdogo halafu Chama cha Mpira wavunje mkataba wake aende atakapo ambapo ni Madrid kirahis hivyo!
Ndo mbinu anayotaka kuitumia feisal na washauri wake
Ni takriban miezi mitano imepita tokea Feisal aingie mitini nikimaanisha kwa muajiri wake Yanga, hayupo kwa sababu anazozijua yeye.
Yanga kama custodian wa mkataba wa Feisal ndio mwamuzi wa mwisho either avunje au asivunje mkataba asubirie mpaka pale utakapoisha na halazimishwi na mtu au taasisi yeyote ile as long anatimiza matakwa ya kimkataba waliyokubaliana.
Na nguvu itaondoka kama atavunja matakwa ya mkataba kama kutokumlipa mchezaji mshahara, mfano Wydad walikuwa hawalimpi mshahara Mvusa kwa hiyo walikiuka matakwa ya kimktaba, ila Yanga hawajakiuka matakwa ya kimkataba.
Unaposign mkataba lazima uutumikie, usipoutumikia makusudi kama afanyavyo Feisal ni kosa kisheria na hilo kosa litapelekea kwa muajiri wako kukupiga penalty ya wewe. Kutokutumikia mkataba ni jambo ambalo watu wengi hasa Watanzania hawalioni.
Kwa Watanzania wengi wana desturi ya kuvunja mikataba kihuni dhid ya waajiri wao na hawachukuliwi hatua yeyote ni kwa sababu tu na wewe pia mwajiri hakuhitaji, lakini kama mwajiri anakujitaji anayo haki ya kukudai fidia sio tu ya kuvunja mkataba kihuni plus kutokuhutumika. Na watu waelewe kutumikia mkataba ni lazima as long ulikubali kusign, sio ombi.
Kitu ambacho Feisal anatakiwa aambiwe straight; asifikiri ataondoka bure hata kama mkataba wake ukiisha anachotakiwa kujua Yanga kama mwajiri wake anahaki ya kumdai fidia Feisal kwa kutokutumikia mkataba wake. Kwa hiyo swala la yeye kuondoka bure mpaka sasa hivi halipo tena, kwa namna yeyote ile labda mwajiri wake Yanga waamue kumhurumia.
Feisal either akubali kuongea na Yanga wamtajie dau wanalotaka ili auzwe au asubirie mkataba uishe awalipe Yanga fidia kwa kutokutumikia mkataba.
Nimeshtuka kuona wakina Fatuma Karume na Madeleka kama Mawakili hili swala, hawajui kwamba kuna penalty ya kutokutumia mkataba ambayo inamsubiria Feisal?