Msaada tafadhali

Tiger

JF-Expert Member
Nov 30, 2007
1,747
386
Heshima kwenu.
Mi naomba kufahamu kuna uhusiano gani kati ya matumizi ya umeme na the so called "tariff"?
Ukiangalia risit za kulipia LUKU, chini kabisa kuna sehemu imeandikwa tariff.
Nimeambiwa ziko tarif 1 mpaka 4 na kila moja inatofautiana na nyingine katika matumizi.
Je, kuna mtu anaweza kunifafanulia hili?
 
Kwa mbali najua.kidogo kuwa ni viwango vta ulipaji wa umeme kutokana bba matumizi mfano wa majumbani tunatumia tariff 0 mpaka 1 mahoteli, Bar nao tariff zao, ashuune za kusaga/kukoboa na viwanda vidogo vidogo na magerage tariff 2 na kuendelea (utaona hata wire za umeme zibbaongezeka badala ya 2 wanashushiwa wire 3
Hao wengine tariff za juu kubwa ni viwanda na migodi malipo yao na viwango ni juu ndo maana huwekewa Transfoma ya kupunguza umeme wa 33Kv ambazo hupita juu zaidi katika nguzo (za chini ni 11Kv kwa matumizi madogo ambapo yameshapunguzwa kuoouutia Step-dorn Transfoma)
Somo lingine
Umeme wa ndani 500volts
Umeme wa mitaani 11-33Kilovolts
Umeme wa Mtera, Kidatu hutoa Mega
 
Tunashukuru kwa taarifa ila jitahidi ujue kwa "karibu"
 
Tariff ni kiwango cha umeme kinachotolewa kwa mteja kutoka utility company e.g Tanesco. Kiwango hiki kimegawanyika katika sehemu mbalimbali kutokana na mahitaji ya mteja ambayo yanaweza yakahitaji either single phase for domestic (220V-250V) three phase for small industries (384-415V) and three phase for large consumer at 50kW and above for 11kV.
 
Huo ni uwizi mtu mtupu wa magamba hakuna jipya hapo ndugu

Tariff siyo wizi kwani kila kampuni lolote linalo supply umeme linalenga katika kujenga profit ili kuensure continuity of services.
Kwa hapa bongo tatizo lilipo Tanesco ambalo linaleta inefficiency katika huduma zao ni kuzidiwa coz kila kitu wana handle wao toka kwenye generation, transmission, distribution hadi kwenye uuzaji thus why mtu anaweza kulipia kuunganishwa na huduma hii na akakaa hata mwaka pasipo kuunganishwa.
Tunahitaji makampuni zaidi ili kuboresha huduma hii.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom