msaada tafadhali

Prof

JF-Expert Member
Feb 24, 2010
1,577
2,436
ndugu wana jamvi, ninaomba msaada kwenye tuta, hasa kama kuna mtu ana kibao(wimbo) wa urafiki jazz band unaitwa kwa mjomba anitundikie hapa ili nijikumbushe hapo zamani kidogo. kwenye maduka nimekosa nikaona bora nijisalimishe humu jamii forum kwani kwenye wengi hapaharibiki kitu.

natanguliza shukrani
 
nendeni RTD aka TBC TAIFA pugu road mtapata kila wimbo mnaoutaka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom