Mkuu template nzuri inategemea mambo mengi mfano template nzuri ya blog ya mitindo na mavazi haiwezi kuwa template nzuri ya blog ya habari. Tempates nzuri kwa blog inayowalenga wanafuzi na shule na elimu haiwezi kuwa tempate nzuri kwa Blog inayolenga kuzungumzia mambo ya magari na vifaa vya ufundi.
Kama alivykouambia mdau mdau juu template nzuri zipo
google lakini kwanza soma tips kama
hii hapa au
hii hapa au
hiii
Then uki gogle utakuatana na list ya mapendeezo ya best
templates kama hizi na nyingie nyingi ..
google(blogspot.com) na
wordpress ndio zinatumika sana sana. hapo pia inategema wewe unataka ipi.