Msaada tafadhali

watu wengine bana, sasa uislamu na ukristo umekujaje tena hapa??? Mosie baba hebu mjibu huyu jamaaa, hivi unajua dini zaetu kwani? aaaha tupatie hio bendera kama unayo
Chadema wabagueni waislam ,wakumbatieni wakristo....
 
Mtumba kubanike mbwai maaa? Mbona unatukumbusha uchungu tulioanza kuusahau japo kwa siku moja? tafadhali ukiipata na mimi nipatie nimpelekee fundi anishonee shati lenye rangi hizo.

izapatikana pee mtumba, angalia post #16 & #17, na mimi ntampelekea fundi anishonee kaunda suti kwa kutumia hiyo bendera, na nguo mbali mbali za watoto wangu.
 
eti mtoto wako akiuliza tar.9 disdmba tunaazimisha uhuru wa A.zanziba B.tanganyika C.kenya D.Tanzania..utajibu nn? Rejea maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru..
 
mmmh! mi simo!!

Mmmhh mimi nimo kwani kuna uongo mkubwa unaendelea nchi hii. Tangu lini Tanzania ikwa na miaka 50 tarehe 9 Desemba,2011? Basi inabidi wafute historia nzima ya Tanganyika..... Nina hasira sana
 
Hi nchi hatuna chetu!wazenji wana bendera yao!watanganyika hatuna lolote zaidi ya ile bendera ya muungano!watanganyika amkeni tudai uhuru wetu!!tunahitaji nchi yetu!
Kabla ya Tanganyika kulikuwa na nini? nani aliileta Tanganyika na kwanini? Why are we so proud of the thing we never created?Kwanini hatudai iliyokuwa "German East Africa"? au kwanini hatudai temi mbalimbli kama vile zile za kina Milambo,Mkwawa, Gama,Vuga, Mareale etc.?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom