Msaada Tafadhali.

Msaada Tafadhali.

Nyagalu blood

Member
Joined
Feb 3, 2019
Posts
5
Reaction score
13
Ni wiki sasa nimejiunga nanyi kwenye hii jamii forum ..nimekuwa nikileta mada,tatizo linakuja kwenye ku reply kila nikijaribu naletewa maneno haya "your account is currently pending for admin approval" tatizo nini hasa au sitakiwi kureply comments za watu?

Wajuzi nijuzeniii!!

Asante naomba kuwasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo nini, kidhungu au? Maana tayari ushaelezwa.
 
unatakiwa unitumie PM vocha ya voda ya sh. 2000 ili tutatue tatizo lako
 
Nimefurahi kukuona aisee, maana kila nilikuwa naingia kukutazama sioni kitu.

Nikawaza tu dogo majukumu yamemdhibiti, uko powa lakini?
Dogo kweli nilikuwa bize kidogo. Ila nafurahi maana umetambua kutokuwepo kwa uwepo wangu.[emoji119][emoji119][emoji119].
Ni kwa mtu anayejali tuu[emoji119][emoji119][emoji13][emoji13][emoji13]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dogo kweli nilikuwa bize kidogo. Ila nafurahi maana umetambua kutokuwepo kwa uwepo wangu.[emoji119][emoji119][emoji119].
Ni kwa mtu anayejali tuu[emoji119][emoji119][emoji13][emoji13][emoji13]

Sent using Jamii Forums mobile app

Shukrani sana dogo, kawaida tu lakini. Pamoja na pumba zako najikuta nazimiss tu hivyo hivyo.

You have my attention.
 
Back
Top Bottom