Msaada Tafadhali,,,

Msaada Tafadhali,,,

ALkemia

Member
Joined
Aug 26, 2017
Posts
26
Reaction score
11
Habari zenu wakubwa,,, naomba mnisaidie,inawezekana kurudisha picha zilizofutwa kwenye memory card zikiwa na quality ile ile? kama inawezekana nisaidieni.
 
Habari zenu wakubwa,,, naomba mnisaidie,inawezekana kurudisha picha zilizofutwa kwenye memory card zikiwa na quality ile ile? kama inawezekana nisaidieni.
Inawezekana mr. Utazipata km zilivyokuwa mwanzo.
 
Tafuta Hetman data recovery au EASEUS data recovery.
Ila hetman nina ikubali sana ipo fasta.
 
Back
Top Bottom