habari wana jukwaa faida(jf). Naomba kama kuna member mwenye PROPOSAL WRITING SOFTWARE anisaidie. au anielekeze sehemu ninapoweza kuipata. weekend njema.
Proff google utapata templates tu inategemenea unataka kuandika proposal ya aina gani.
Soma hapa uone na unaweza kupata mifano ambayo unaweza kuchaachukua kuendana na proposal yako
- Tecnical
- Business
- Academic
- etc
Online Technical Writing: Proposals
kwa mkuu kuna software maalumu au word processer inatosha?, me napata shida hapa kwa ufahamu wangu wa proposal.