bintishomvi
JF-Expert Member
- Mar 21, 2015
- 1,164
- 832
Naomba wajuzi wanielekeze kutumia email nikituma jumbe inaenda na neno la siri
SIJAWAHI KUONA HII HIYO EMAIL NI YAHOO AU GMAILMbona mwaguna au sijaeleweka ni hivi nikimtumia mtu ujumbe kwenye email yangu kwenda kwa mtu inaenda na neno la siri la kufungulia email yangu
Utakuwa umeiweka kama SignatureGmail , au inaoneka kwenye display tu kwake aifiki Nina hofu nimemwaga unga wangu nitashinda njaa mshua akisoma akijua kufungu account yangu mmm!