Msaada tafadhali

bintishomvi

JF-Expert Member
Mar 21, 2015
1,164
831
Naomba wajuzi wanielekeze kutumia email nikituma jumbe inaenda na neno la siri
 
Mbona mwaguna au sijaeleweka ni hivi nikimtumia mtu ujumbe kwenye email yangu kwenda kwa mtu inaenda na neno la siri la kufungulia email yangu
 
Gmail , au inaoneka kwenye display tu kwake aifiki Nina hofu nimemwaga unga wangu nitashinda njaa mshua akisoma akijua kufungu account yangu mmm!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom