Kuscan fomu za bodi ya mikopo kutumia CamScanner ina madhara?

hatedthemost

JF-Expert Member
Oct 20, 2021
424
271
Habarini wakuu mko salama? naomba kuuliza kuna yeyote aliapply mikopo na akascan kutumia CamScanner?
Je ina madhara?

Msaada tafadhali
 
Kwa sasa unapaswa kujaza fomu online sizani kama wanapokea za kujazwa manual! Tembelea website ya bodi ya mikopo Tanzania ili ujisajili na kuanza kujaza fomu huku ukipambana na changamoto za kimtandao!
 
Tumia Adobe Scan.... Ipo playstore...

Uzuri wake haiachi footnote zozote na kuna options nyingi za kuset docs unazoscan..
 
naomba kuuliza kwenye attachment,kuna sehemu ya kuattach vyeti,mfano form four na form six?,Naomba msaada maana sijaanza kuomba ila nataka nijue ili nifatilie vyeti kama vinahitajika
Hapana hakuna mahali wanataka vyeti my dear.
 
Ndio unaweza na kunasehemu ya kufuta hzo sign za CamScanner na hata ukiacha ainashida unavigezo page zinaonekana utapata mkopo tu
 
Back
Top Bottom