Papizo
JF-Expert Member
- Feb 24, 2008
- 4,944
- 1,431
Habari za kazi wakubwa hope wote mnaendelea vizuri na shughuli za kawaida...Kama kawaida naamini hapa hamna kinachoshindikana hata kidogo.....Sasa nimepata problem leo ambayo imejitokeza ghafla na sijui nisolve vipi nimejaribu kuangalia kwa makini lakini sijapata solution kamili...Nina laptop yangu inatumia window vista ultimate...Sasa problem niliyokuwa nayo leo kuna CD fulani ninayo ambayo ni ya mambo yangu mwenyewe ya kikazi sasa nilikuwa nimeweka ili niweze kuiweka ile programe kwenye hiyo laptop lakini sana kila niki click ianze kujirun naona haifanyi kabisa kabisa...Sasa nilichofanya nilienda kwenye MY COMPUTER then nikaona pale kuna Hard disk drive ambayo bado nina nafasi ya kutosha/.........Then kwa chini kuna DVD RW Drive (D) sasa hapa inaniambia kwamba 0 byte out of 684MB ina maana kwamba nina 0 space...Sasa nilichofanya nili click right click then properties kuja hapa nikaona imeniambia kwamba kwa alama ya brue USED SPACE ni 718,233,600 bytes and FREE SPACE ni 0 bytes na chini kuna alama ya duar ya blue inaonekana ipo full...Sasa hii programe yangu ni muhimu na nahitaji sana niistall kwenye laptop yangu sasa sielewi nifanye nini ili niweze kupata space au nidelete programe gani????Naomba msaada please nategemea nitapata majibu mazuri hapa.....
N.B samahani sana kwa kuandika vitu vingi nimeandika ili nieleweke problem yangu
N.B samahani sana kwa kuandika vitu vingi nimeandika ili nieleweke problem yangu