askarikambi
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 246
- 263
Nina external hard disk ya "Transcend" ambayo nimehifadhi vitu vyangu vingi na muhimu sana.
Sasa sijui nini kimetokea, tangu wiki iliyopita, kila nikiiweka kwenye computer(desktop au laptop) na kwenye TV, haisomi kabisa japo taa yake inawaka kuonyesha kuwa iko connected.
Mwenye utaalamu anisaidie kipi nifanye ili isome kwenye computer niweze kupata material niliyohifadhi huko.
Msaada tafadhali. Thanks.