Msaada Tafadhali Wadau!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada Tafadhali Wadau!!!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Prince Dikembe, Oct 5, 2012.

 1. P

  Prince Dikembe Member

  #1
  Oct 5, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimenunua memory card mpya ya ukubwa wa 4 GB but kila nikitaka kuingiza nyimbo kwa kutumia computer inashindikana na napata ujumbe huu, "THE DISK IS WRITE-PROTECTED, REMOVE THE WRITE-PROTECTION OR USE ANOTHER DISK" Je nitawezaje kuondoa hiyo "WRITE-PROTECTION" ili niweze kuingia nyimbo na vi2 vingine? Naomba msaada wa kiufundi hapo wakuu!!
   
Loading...