Masiya
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 7,602
- 7,344
Wakuu tumekwama. Baada ya kulipa step 2 kijana anaingia step3 Academic qualifications. Akiweka either O level na index namba yake au A level na index namba yake anaambiwa "Names of this Index# do not match with names registered in your profile". Amecheck mara mbili mbili haoni kosa kwenye profile yake na index namba zake. Afanyaje?