gaba peter
Senior Member
- Jan 7, 2016
- 178
- 65
Ulikuwa ukifanya nn hasa hadi ikawa hivo
!
!
Imekubali boss wangu.... Ila hizi built in hizi sio kabisa.
Built in battery nafikiri betr ilojengewa ndan"Ila hizi built in hizi sio"
Umemaanisha nini mkuu
Bonyeza power button, volume down na hom kwa pamoja!
!
Hakuna kinachobonyezeka hapa... Yaani imeganda hapo haiendelei haizimiki wala haifanyi chochote
"Ila hizi built in hizi sio"
Umemaanisha nini mkuu
Ulikuwa ukifanya nn hasa hadi ikawa hivo
Flashing will solve your problem!
!
Ni lisaa la pili hili imeandika tu tecno halafu hakuna kinachoendelea. Nimefungua nyuma nitoe betri na kwenyewe kumefungwa betri kulitoa haiwezekani.
Naambatanisha na picha nikitumaini nitasaidiwa
Unaweza kufanya mwenyewe tu!
!
Naweza nikafanya mwenyewe au hadi fundi akanipige twenty yangu?