Hahaaaaaa kijana kwani ulisoma wapi lazima uoige bao mbili? kila mwanadam anazaliwa na uwezo wake tofauti na wengine...Habar zenu
Mimi nikijana umri miaka 29 Male tatizo kubwaa linalo nisumbua nikiwa katika mechii(sex) lile bao la pili naishia njiani hamu yote inapotea na Dudu linasinyaaa
Msaada wenu Tafadhal
Punguza kula chips
Changanya asali vijiko vitatu, mdalasini vijiko viwili, tangawizi kipande cha wastani na kitunguu swaumu punje sita kwenye glasi ya maji. Hakikisha unapiga asubuhi glasi moja na jioni glasi moja. Nakuhakikishia baada ya wiki Lazima shemeji ataomba poo.
umalizi KVP sasa
umalizi KVP sasa
Hahaaaaaa kijana kwani ulisoma wapi lazima uoige bao mbili? kila mwanadam anazaliwa na uwezo wake tofauti na wengine...
Muhimu: Angalia umri wako, Punguza uzito, sigara, mapombe, mirungi, bhangi, cheki BP, Colestral, kisukari, no punyeto na fanya mazoezi hasa squart, asbhi ni mda mzuri sana wa mazoezi, kula vyakula vyenye proting, wanga kiasi, pumzika vya kutosha, punguza wapenzi wengi.........
Pia: Fanya mapenzi kwa mpenzi unaemuwaza na sio vichecheee vya kununua,mabaa maid...
Kipindi unafanya sex hakikisa akili yako,mawazo,na kila kitu chako kinakuwa kwenye tendo.usiwe unatomba hakafu mawazo yako kwenye mechi ya bacca na madrid,utakimbiwa
La kwanza unamaliza?
OK mnala unashuka ghafla Fanya mazoezi acha punyetoHamu yatendoo inaishia katii Dudu inasinyaa hapo hapo kablaa sijapiga bao la pili
OK mnala unashuka ghafla Fanya mazoezi acha punyeto
Hama Dsm, waache na gonjwa laoHabar zenu
Mimi ni kijana umri miaka 29 Male tatizo kubwaa linalonisumbua nikiwa katika mechii(sex) lile bao la pili naishia njiani hamu yote inapotea na dushe linasinyaaa
Msaada wenu Tafadhali