Mkuu ahsante sijafukuzwa kazi mambo yako sawa ni hali tu inatokea muda fulani unakuwa na furaha kubwa sana kisha huzuni. ndio maana nilitaja mood swings, naenda hospital ntapata majibu na msaada pia nashukuruni kwa michango yenu.Kwani tatizo limeanzia wapi mkuu? Umefukuzwa kazi? Hujawahi kuajiriwa pamoja na kwamba umesoma au shida ni nini? Mimi siamini kama mtu unaweza kutumbukia tu kwenye msongo wa mawazo bila sababu ya msingi. Labda ungesema kisababishi cha hiyo shida. Kama upo Dar, nenda pale Ocean road hospital mtafute m-psychologist mmoja anaitwa Michael wewe uliza tu hilo jina yuko kitengo cha saratani atakisadia sana kukujenga kisaikolojia. Pia shikilia sana hapo kwenye kumtanguliza Mungu akuepushe na kiroho cha kujitoa uhai isije ikafika huko!
Nenda kwa washauri nasaa watakuchimba hadi watajua tatizo lako na wewe pia utajua tatizo lako na hapo utakua umepona maana sahiv naona kabisa hujui una shida gan
Mimi miaka yangu ya katikati mwa 20’ hadi mwishoni nilijikuta namawazo sana ambayo hata siyaelewi yanatoka wap
Nilikua kila nayekutana naye namwambia nikienda hospital namwambia dokta nikikutana tu na mtu mzima nayemuelewa namwambia!
Hapo kwenye kumwambia kila mtu na majibu niliyokua nayapata nikayajumlisha nikapona hasa!
Hadi leo bado maisha siyo mazuri sana lakini stress hazinisumbui! Yaan nikipata tatizo natulia kwanza simwambii yoyote naeza tulia hadi siku mbili natafuta jibu baada ya hapo ndiyo natafuta wa kumwambia!
Yaan kile kipindi kilimifunza sana!
Udhaifu wangu tu kwasasa nikipata changamoto mfano ya madeni au nimegombana na mtu asee kichwa kinakua giza tu yaan ubongo kama umefunikwa na kitambaa chausi bas siwezi kuomba wala
Mkuu funguka vzr,umesema Vicks ila hujaitolea ufafanuzi namna bora ya kuitumia.ahsante mkuu..
Pole sana kwa shida hii.
Kama ni mtu wa kusali sana na unaamini katika maombi ya vita
Funga siku 3
Omba maombi ya kuilaani roho ya trauma, ukimaliza ikemee iondoke.
Ni muhimu sana kuilaani kabla ya kuanza kuikemea, maana kuilaani kunaipunguzia nguvu sana, na hata kama haitaondoka lakini itapunguza sana nguvu yake na utaona mabadiliko
Lakini ikiwa bado shida inaendelea, badili maombi uanze maombi ya mahakamani
Muombe Mungu akufunulie kwa ndoto au staili yoyote atakayoona inafaa vyanzo vya hii shida legally, mara nyingi unaeza kuta ni attempt ya wazazi kutaka kuitoa mimba yako, au mateso ya ujauzito aliyopitia mama yako kabla ya kuzaliwa au majanga mengine ya kimaisha, chanzo kinaweza kuwa chochote.
Halafu peleka hio kesi mahakama ya kiroho inaitwa Mahakama ya Mashitaka, umuombe Mungu aingilie kati kwa staili moja kati ya hizi
1)Kuondoa leagal grounds zote za stress kwenye maisha yako, mara nyingi hii ni njia ndefu na inaweza kuku cost hata mwezi, maana haya mambo yan mizizi mirefu sana, ila ukifanikiwa utakuwa umesolve tatizo mazima.
2)Staili ya pilo ni kuomba Mungu aachilie restraining order kwa roho zote za stress na sonona kwa grounds kuwa unahitaji muda kishughulikia, happ unaeza taja miaka unayotegemea utakuwa umeshughulikia hili tatizo legally
Na utapewa miaka yako uliyoomba, tatizo ni kuwa shida zitakoma ila miaka ikiisha tu na wewe kama uliamua ku relax hukuendelea kushughulika na vyanzo vya tatizo, shida zote zinarudi kama mwanzo
Ndio maana option ya kwanza hapo juu ni better.
Ipo njia ambayo ni ultimate, ambayo ni kupeleka tatizo hilo mahakama ya Juu zaidi, inaitwa Mahakama Kuu ya Mbinguni, hii ni kama Mahakama ya Rufaa kwa hapa Bongo
Tatizo la kesi zinazopelekwa huko Mahakama Kuu zinahitaji uwe expert kwenye legal system ya Ufalme wa Mungu, lakini pia uwe na atleast watu wawili, maana yake jumla muwe watatu
Japo ma expert huwa wanaenda wenyewe na kuomba usaidizi wa Roho Mtakatifu na viumbe wanaitwa Wingu la Mashahidi, kwa hiyo akidi inatimia, ila hii ni kwa walio ma expert sana
So anza na mahakama ya Mashtaka maama
hii ni kama mahakama ya mwanzo, protocols zake ni simple na makosa ya upande wa utetezi yanavumilika
Kila la heri
Na Mungu akutangulie.
Hicho kitunguu swaumu hujatoa maelezo jinsi ya kukikitumiaKitunguu saumu ndio dawa ya magonjwa yote ya kipumbavu mfano
1 Mvurugiko wa akili
2.kukata tamaa
3.kushuka moyo
4 kuumizwa moyo
5.kuvunjwa moyo
6.stress
7.Maumivu ya kichwa
8 ndoto za kipumbavu pumbavu
9.ni first aid ya magonjwa yote ya kichawi, au kiroho. Dawa zao hazipatani na harufu ya kitunguu saumu inaua nguvu za dawa zao.
10.Shida ya ukosefu wa usingizi
11.Uchovu wa mwili na roho
12.Moyo kwenda mbio
13.Hofu
Nk
So tumia kitunguu saumu au paka vicks KISHA ikatae hio hali. Utakaa sawa sekunde nyingi
Jiulize kwann Wahindi na Wachina asubui ukiongea nao wananuka kitunguu saumu.
Kitunguu saumu uwapa positivity siku nzima, nguvu ya kutenda Kazi kimwili na kiroho.
Baada ya kugundua siri ya kitunguu saumu, hayo magonjwa ya kipumbavu ayanisumbui, nipo positive mda wote.
Kwanza tumia punje za kitunguu saumu tafuna au paka mafuta yake, pili ikatae hio hali ya unyonge, dakika nyingi utakaa sawa.
Sawa mkuu ila ungesaidia kutuelewesha jamani wahanga ni wengi mno na hao mapsychists ni wachache unakuta hospitali za mikoa nyingi hakuna jamani. Mi mwenyewe ni Muhang kuna mda nakuwa na furaha na amani na kun muda na kuwa mwenye huzuni saaaana had nawaza mambo mengine . Nimetumia hizo antidepressants lakini naona hakuna nazid kujaza sumu tumboni. Pili nimekuwa mwoga sana wa kushiriki tendo la ndoa naogopa maumivu. Sasa sijui mnanisaidia je.I wish niwasaidie wote mnaopitia msongo wa mawazo, anxiety, depression n k. Watu wana koment bila kujua nini hasa maana ya msongo wa mawazo. I,m talking from my own experience. hakuna dini itakusaidia,kama mnavyo shauriana hapa. Ni trick ndogo mnoo..
I have survived depression na anxiety niliyo ishi nayo kwa mwaka na miezi..dawa zote za antidepressants nlitumia,soma mnooo,shika dini mnoo,kufunga mnooo,ombaa mnoo.
Haikusaidia,until one day nlipo pata mwanga, within 3 months nliweza kuondoka katika hyo nyakati ngumu.