Mkuu weka hapa usaidie wengiI wish niwasaidie wote mnaopitia msongo wa mawazo, anxiety, depression n k. Watu wana koment bila kujua nini hasa maana ya msongo wa mawazo. I,m talking from my own experience. hakuna dini itakusaidia,kama mnavyo shauriana hapa. Ni trick ndogo mnoo..
I have survived depression na anxiety niliyo ishi nayo kwa mwaka na miezi..dawa zote za antidepressants nlitumia,soma mnooo,shika dini mnoo,kufunga mnooo,ombaa mnoo.
Haikusaidia,until one day nlipo pata mwanga, within 3 months nliweza kuondoka katika hyo nyakati ngumu.
Nitajitahidi siku moja niweke uzi kabisa mkuu,mimi nmetumia madawa mengi mnoo,nmetumia vitunguu swaumu,nmeogea chumvi ya mawe,nimefunga na kuomba kwa Mungu..Mkuu weka hapa usaidie wengi
Tafadhal mkuu nisaidie ili niweze kujinasua katika hili, pm yangu iko wazi karibu.Nitajitahidi siku moja niweke uzi kabisa mkuu,mimi nmetumia madawa mengi mnoo,nmetumia vitunguu swaumu,nmeogea chumvi ya mawe,nimefunga na kuomba kwa Mungu..
Hayo madawa ya Antidepressants yakaleta matatizo mengine,nkajikuta siwezi kushiriki tendo..yaan kitu haisimami.
Katika vitu binadamu tunapaswa kuvipa kipaumbele,ni AFYA YA AKILI.
watu wako busy mnoo na maisha kuliko Afya ya akili.
Ukimess up na Afya ya akili,umeharibu kila kitu..hakuna amount ya pesa ama vitu ambavyo vitarejesha utimamu wa afya ya akili..mpka pale utakapo ijua Formula husika.
Dawa hizi hujenga uraibu mkubwa kuliko pombe, sikushauri kuzitumia.Nashukuru mkuu nitafanya hvyo.
Pole sana kwa shida hii.
Kama ni mtu wa kusali sana na unaamini katika maombi ya vita
Funga siku 3
Omba maombi ya kuilaani roho ya trauma, ukimaliza ikemee iondoke.
Ni muhimu sana kuilaani kabla ya kuanza kuikemea, maana kuilaani kunaipunguzia nguvu sana, na hata kama haitaondoka lakini itapunguza sana nguvu yake na utaona mabadiliko
Lakini ikiwa bado shida inaendelea, badili maombi uanze maombi ya mahakamani
Muombe Mungu akufunulie kwa ndoto au staili yoyote atakayoona inafaa vyanzo vya hii shida legally, mara nyingi unaeza kuta ni attempt ya wazazi kutaka kuitoa mimba yako, au mateso ya ujauzito aliyopitia mama yako kabla ya kuzaliwa au majanga mengine ya kimaisha, chanzo kinaweza kuwa chochote.
Halafu peleka hio kesi mahakama ya kiroho inaitwa Mahakama ya Mashitaka, umuombe Mungu aingilie kati kwa staili moja kati ya hizi
1)Kuondoa leagal grounds zote za stress kwenye maisha yako, mara nyingi hii ni njia ndefu na inaweza kuku cost hata mwezi, maana haya mambo yan mizizi mirefu sana, ila ukifanikiwa utakuwa umesolve tatizo mazima.
2)Staili ya pilo ni kuomba Mungu aachilie restraining order kwa roho zote za stress na sonona kwa grounds kuwa unahitaji muda kishughulikia, happ unaeza taja miaka unayotegemea utakuwa umeshughulikia hili tatizo legally
Na utapewa miaka yako uliyoomba, tatizo ni kuwa shida zitakoma ila miaka ikiisha tu na wewe kama uliamua ku relax hukuendelea kushughulika na vyanzo vya tatizo, shida zote zinarudi kama mwanzo
Ndio maana option ya kwanza hapo juu ni better.
Ipo njia ambayo ni ultimate, ambayo ni kupeleka tatizo hilo mahakama ya Juu zaidi, inaitwa Mahakama Kuu ya Mbinguni, hii ni kama Mahakama ya Rufaa kwa hapa Bongo
Tatizo la kesi zinazopelekwa huko Mahakama Kuu zinahitaji uwe expert kwenye legal system ya Ufalme wa Mungu, lakini pia uwe na atleast watu wawili, maana yake jumla muwe watatu
Japo ma expert huwa wanaenda wenyewe na kuomba usaidizi wa Roho Mtakatifu na viumbe wanaitwa Wingu la Mashahidi, kwa hiyo akidi inatimia, ila hii ni kwa walio ma expert sana
So anza na mahakama ya Mashtaka maama hii ni kama mahakama ya mwanzo, protocols zake ni simple na makosa ya upande wa utetezi yanavumilika
Kila la heri
Na Mungu akutangulie.
Hayo yana apply kote!Duh hatari
Wewe ni wakili boss? Nawaza na daktari maombi yake aanze wapi
Ahsante mkuu nashukuru nitalifanyia kazi nakumbuka nimewah kutumia carbamazepine ili kuchangamka, aisee nilipata addiction bila dawa nilikuwa siwezi kuchangamka.Nilitumia njia hii kupunguza msongo wa mawazo.Japo nilipungua sana mwili ila afadhali siyo sawa na kipindi kilichopita. Nakushauri uwe unapenda kufunga kula,tumia chai au kahawa bila sukari wakati umefunga(fasting).
By organizing the eating schedule through fasting, it will also maintain the hormone cortisol associated with the body's response to stress. Fasting can stabilize the hormone cortisol produced by the adrenal glands. To put in simpler words, it can reduce stress levels.
Wee!! Anakulisha tangu pori huyo kimbia!!Aiseeee ddnt know this before.
Usikose asprin kwako inasaidia sana meza kila siku utakaa sawa...pole 🥰Nashukuru mkuu nitafanya hvyo.
Weka hapa watu tusome mkuuI wish niwasaidie wote mnaopitia msongo wa mawazo, anxiety, depression n k. Watu wana koment bila kujua nini hasa maana ya msongo wa mawazo. I,m talking from my own experience. hakuna dini itakusaidia,kama mnavyo shauriana hapa. Ni trick ndogo mnoo..
I have survived depression na anxiety niliyo ishi nayo kwa mwaka na miezi..dawa zote za antidepressants nlitumia,soma mnooo,shika dini mnoo,kufunga mnooo,ombaa mnoo.
Haikusaidia,until one day nlipo pata mwanga, within 3 months nliweza kuondoka katika hyo nyakati ngumu.
Nimesema nitaweka uzi,ili wengi waweze kuona na kupata msaada.Weka hapa watu tusome mkuu
Kwani tatizo limeanzia wapi mkuu? Umefukuzwa kazi? Hujawahi kuajiriwa pamoja na kwamba umesoma au shida ni nini? Mimi siamini kama mtu unaweza kutumbukia tu kwenye msongo wa mawazo bila sababu ya msingi. Labda ungesema kisababishi cha hiyo shida. Kama upo Dar, nenda pale Ocean road hospital mtafute m-psychologist mmoja anaitwa Michael wewe uliza tu hilo jina yuko kitengo cha saratani atakisadia sana kukujenga kisaikolojia. Pia shikilia sana hapo kwenye kumtanguliza Mungu akuepushe na kiroho cha kujitoa uhai isije ikafika huko!Wakuu habari za leo?
Poleni na majukumu.
Mimi ndugu yenu nina changamoto ambayo kiukweli ni kama nashindwa kuishughulikia. Nimekuwa mtu wa huzuni sana, kiasi mpaka naanza kujiona sina thamani yoyote.
Nimetumia kilevi lakini wapi tena hiki ndo kimezidisha matatizo yangu maana kimenitumbukiza katika matatizo ya kiuchumi.
Mimi nina imani katika Mungu nina sali lakini wapi, hali hii inaweza kupungua kwa muda lakini inarudi mpaka nina mashaka kama kweli Mungu ana muda na mimi.
Ni kweli kuwa sina pesa lakini sijawahi kukosa pesa za mahitaji yangu na paa juu ya kichwa changu.
Nimekuwa najiuliza nn kinasabisha(trigger) hali hii sipati majibu. Kifupi tu ni kuwa nina MOOD SWINGS.
Najua kuna watu hapa wana exposure tofauti na wanasaikolojia wapo hapa tafadhali naombeni msaada hata wa mawazo tu.
Na kwa yeyote atakayeniazima sikio(LISTENING HEAR) ntashukuru namba yangu ni 0629295440.
Msiwe na wasiwasi sitaomba pesa.
samahani si mwandish mzuri.
Natanguliza shukrani.
Wakuu habari za leo?
Poleni na majukumu.
Mimi ndugu yenu nina changamoto ambayo kiukweli ni kama nashindwa kuishughulikia. Nimekuwa mtu wa huzuni sana, kiasi mpaka naanza kujiona sina thamani yoyote.
Nimetumia kilevi lakini wapi tena hiki ndo kimezidisha matatizo yangu maana kimenitumbukiza katika matatizo ya kiuchumi.
Mimi nina imani katika Mungu nina sali lakini wapi, hali hii inaweza kupungua kwa muda lakini inarudi mpaka nina mashaka kama kweli Mungu ana muda na mimi.
Ni kweli kuwa sina pesa lakini sijawahi kukosa pesa za mahitaji yangu na paa juu ya kichwa changu.
Nimekuwa najiuliza nn kinasabisha(trigger) hali hii sipati majibu. Kifupi tu ni kuwa nina MOOD SWINGS.
Najua kuna watu hapa wana exposure tofauti na wanasaikolojia wapo hapa tafadhali naombeni msaada hata wa mawazo tu.
Na kwa yeyote atakayeniazima sikio(LISTENING HEAR) ntashukuru namba yangu ni 0629295440.
Msiwe na wasiwasi sitaomba pesa.
samahani si mwandish mzuri.
Natanguliza shukrani.
Mkuu sijasema msongo wa mawazo mwenyewe nimesema sijui tatizo ni nini? la msingi naomba uelewe ni kuwa kuna muda naweza kuwa na furaha lakini ghafula nikapatwa na huzuni kubwa mno alafu cha kushangaza naweza pata furaha ya kupitiliza sana yaan nkajihc energetic lakini baada ya muda huzuni na mawazo ya suicide.Mtu mweny msongo wa mawazo hawezi kujieleza hivi, we punguza kubeti bana usijifanye hujui nini kinakusumbua