Msaada tafadhali sielewi

issabela

Senior Member
Jun 27, 2012
148
17
Habari zenu wa jf naomb msaada wenu kwa anaejua au mwenye idea yoyote nina tatizo la kuumwa kichwa sio chote ni mishipa ya pembeni karibia na masikio inakaza na kuvuta sana inatokea sana nikiwa stressed nishamuona dokta nikapewa miwani bt hali bdo 2 naomb msaada madaktari wa jf
 
Habari zenu wa jf naomb msaada wenu kwa anaejua au mwenye idea yoyote nina tatizo la kuumwa kichwa sio chote ni mishipa ya pembeni karibia na masikio inakaza na kuvuta sana inatokea sana nikiwa stressed nishamuona dokta nikapewa miwani bt hali bdo 2 naomb msaada madaktari wa jf

Kamuone Neurologist...
 
km alivokushauri njiwa dada yangu nenda kw neurologist, inawezekana una maradhi ya kichwa ya migren wanawake wengi huwapata, kichwa cha migren maumivu huanza upande moja thn yanaenea kichw kizima, unahisi kichefu chefu?unatapika? kbla kichwa kuuma unapata sign yoyote km kuona vinyota nyota? au kuhisi kitu km sauti?
if its migren doctor atakupa dawa pia kuna vyakula itabidli uwe huli
 
Ahsante kwa ushauri hao ma neuroligst kitengo kama hcho cjakiona kakt hospital nyingi unawez nidirect samahan lakini coz nahitaji kwnda kabisaaa sign sipat kichefuchefu wala kutapika lakini mishipi inapiga sana kama moyo unavyodunda na inavyodunda hvyo napata maumivu sana maeneo karibia na hyo mishipa na sauti zinaskika kama mishipa inataka kufunguka vile
 
kwa dar sijui neorologist wanapatikana wapi, jaribu pia kufanya check ya maradhi mengine km pressure, sukari maybe ni complicationz za chronic disease
 
Ukifika hospitali sema.unahitaji neurologist ataelekezwa. Agha khan nadhani yupo part time, muhimbili ni lazma upate rufaa kutoka kwa dr wa kawaida.
 
nenda pale Family Care upanga mtaa wa mfaume, muulizie Doctor Matuja
 
Ahsanteni kwa ushauri maan nilihc nimelogwa nitakwenda ili nikapate ushauri zaidi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom