Mkuu i beg to differ ndio vitabu vipo ila vingi kwanza authors ni from outside (kwahiyo sijui reasearch zao kama zilikuwa perfect) this makes it vitabu vingi viwe ni according to outside audience.., Pia kama jamaa alivyosema ni kwa ajili ya research (sasa amazon kitabu average ni 15USD) kweli mtu wa kawaida kuandika reasearch can he afford..,
Tena bora Amazon, am sure kwenye libraries zetu ni vumbi tupu..
nimesearch
tanzanian politics nimepata 421 results
Amazon.com: tanzania politics#
nimesearch
multiparty in Tanzania nimepata 28 results
Amazon.com: tanzania politics
My Take
Sababu most of this ni educational kuna umuhimu wa ku-upload materials nyingi online (kuwe na database ya taifa), in pdf format... (all the books), tusipoangalia tutakuwa tunapoteza materials muhimu ambazo watu walipata tabu kuziandaa, pia wasomi wetu inabidi wajikite zaidi kwenye kuandika vitabu..., generation from now watategemea tulichokiandika sisi... ama sivyo tunaloose our identity