Naomba ufafanuzi wa mdomo kuwa na ladha ya uchachu, viungo kuuma na tumbo kuunguruma

Mkwawa mnyalukoro

JF-Expert Member
Oct 11, 2017
232
136
Habari za asubuhi, mimi nina tatizo la muda mrefu kama miaka mitatu tatizo nililonalo NI mdomo kuwa na Radha ya uchachu, viungo vya mwili kuuma, uchovu kupindukia, tumbo kuunguruma, nimekunywa dawa za hospitalin nyingi ikiwemo HELIGOKIT KIT lakin sipati nafuu.

Juzi nikaenda hospital kubwa ya Ikonda kufanya check up wakanipima Choo na kuingizwa mpira wenye kamera tumbon ENDOSCOPY wakasema Nina michubuko tumbon na pia kipimo cha Choo kikaonekana Nina bacteria WA HPYROL wakaniambia Nina vidonda vya tumbo wakanipa HELIGOKIT,Pantaprazole nimemaliza lkn Hali yangu ipo vile vile mpk nimekata tamaa.

Kwa mwenye MSAADA TAFADHARI

Screenshot_2022-09-09-08-22-24-93_99c04817c0de5652397fc8b56c3b3817.jpg
Screenshot_2022-09-09-08-23-32-39_99c04817c0de5652397fc8b56c3b3817.jpg
 
Deogratias_01 Acha ujinga kura haziombwi hivyo , sasa mtu ana shida anahitaji msaada wa mawazo na kitabibu

Wewe unakuja kuomba kura ? Shame on you , acha upumbuvu mara moja .

Ndugu mtoa mada pole sana kwa hayo unayopitia ila ikiwa ushafanya vipimo tajwa hapa juu na haujapata nafuu.

Tafadhali jaribu pia kuangalia upande wa lishe unayotumia ikiwemo kuongeza ulaji wa matunda kwa wingi

Ikiwezekana uwe mlo wako wa siku jitizamie angalau kwa mwezi.
 
Back
Top Bottom