Todito
Senior Member
- Feb 6, 2013
- 154
- 357
Wakuu hongereni kwa sikukuu ya Eid.
Husika na kichwa cha habari hapo juu chahusika. Naombeni msaada sana wa kufahamu chochote kuhusu chuo tajwa hapo juu.
Nina ndugu kijijini kachaguliwa hapo ngazi ya Diploma ukoo mzima unanitegemea mim kuwapa jibu la mwisho kuhusu chuo hicho mawasiliano, ubora wa elimu, eneo chuo kilipo na fomu ya kujiunga.
Natanguliza shukrani za dhati member mwenzenu msiniangushe