Msaada Tafadhali: Namna ya kufix issue ya Adsense YouTube

KEKO JUU

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2025
Posts
613
Reaction score
1,903
Habari za uzima wana JF, Nina changamoto kidogo kwenye kufix Adsense kwenye YouTube Account Yangu, mwenye ujuzi kuhusu hili, Naomba msaada
 
Ushawahi kua na Adsense Account. Ukitimiza vigezo vya YPP inabidi ucreate account pale pae unavoapply sio utengeneze before. Kwahiyo inaboonekana email yako ina Adsense account tayari.

Chakufanya ingia Adsese.Google.com hafu login afu delete iyo account ya Adsense then ka-Apply upya kwenye App/Browser ya Studio.
 
Vigezo nishatimiza, ndo na apply kwa ajili ya monetization lakini ndo nimestack kwenye hio issue ya Adsense, Asante kwa ushauri 🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…