Msaada tafadhali, naachikaje?


Wanawake wa kabila/lugha hiyo kwenye red wakishaona wameanza kujiweza kimaisha huanza vitimbi vya kutaka kuachika. Hatushangai kwa uamuzi wako huo. Ni dhahiri mumeo kuwa mlevi ni wewe unamfrustrate. Bahati mbaya huyo jamaa yako si mchaga mwenzio ndiyo maana hata mazungumzo naye wala na jamaa zake wala na viongozi wa kanisa lake huyataki.
 
Pole Mae... We sepa tu na uwe na msimamo usirudi nyuma hataa wanye wazee kuomba
 
Tanzania kungekuwa na 'no-fault divorce' ningekushauri uchukue mkondo huo.

Hapo huhitaji sababu ingine zaidi ya 'kumchoka' 'kutoendana' au kuwa na 'tofauti zisizoweza patanishwa'.

Huhitaji kuonyesha kosa alilofanya mwenza wako. Raha sana kwa kweli.

Ila kibongo bongo hapo itabidi utumie njia mbadala.

Jaribu hizi: acha kuoga na kujisafisha mara kwa mara; acha kupiga mswaki; acha kujiremba na kujipodoa; acha kunyoa kwapa na kule sehemu sehemu; acha kupaka deodorant na kiachie kikwapa kiteme harufu kali.

Kwa kifupi, kuwa mchafu halafu uone kama yeye hajakuacha.
 
Jamaa anapesa asipopewa game anaenda kutafuta MAPAKA nje anajilia kiroho safi mkuu, agomee vingine lkn sio game

Kwa vile anataka kumuacha asimpe game....tena ahane chumba alale na mtoto.....acha akachukue mipakashume yake...ila lazima itamuuma.

Na huduma zote kama mke azisitishe. Yeye awe busy na mwanae tu. Weekend awe anaenda kula bata bagamoyo zenji nk
 

Aaaaaah! umeharibu kuweka jina la pombe hapo imekaa vibaya nimekumind sana
 

Aisee unakauzoefu mkuu
 
Hahhaha hapo kwenye kuacha kuoga n.k lazima akimboe
 
Asante ccm kwa mbegu hii mliyoipanda...... itakapochipua na kutoa matunda sijui itakuwaje tanzania hii


 
Kusanya ushahidi wa kutosha kuhusiana na matatizo yako peleka kwa ustawi wa jamii, au kwa baraza lolote la usuluhishi wa ndoa kabla ya kwenda mahakamani kudai talaka bila hivyo kesi yako itakua dhaifu dhidi yake, hati kutoka baraza la usuluhisi wa ndoa kua mgogoro wenu umeshindikana kutatulika ni muhimu sana.
 
Mwambie mtoto sio wake.....

Simple and clear atakuachia mtoto na wewe utaachika milele.

Vita ni vita muraa naona unachagua sana silaha...
 
Duh! Hujaeleza sababu ya kwa nini unataka uachike... Iwapo ni ndoa ya Kikristo sio rahisi kuivunja isipokuwa kama utathibitisha kuwa mwezi wako anachepuka. Cha kufanya ni kwenda mahakamani kupeleka shauri la kudai talaka... Wakati hayo yakiendelea unaweza ukawaomba wazee wakuelekeze jinsi ya kuondoka zako. Lakini pia ni bora umwambie mwenzako kuwa umechoka kukaa naye na unaomba mtengane. Mbona mke wa Putin aliomba aachike na mzee akamkubalia?
 

Duu,kweli hapo ndoa imekuwa ndoano.Pole sana Mama
 
Wee mlengeshe huyo mumeo kwanguu akuage yuko sfr alafu ahamie kama wiki uje kutufumaniaa tukiwa tunafanya tabia mbaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…