Msaada tafadhali mke wangu anaumwa!

Voli kitoki

JF-Expert Member
Jun 28, 2011
361
85
Habarin wan JF,
Mke wangu akifanya kazi yoyote ya kuinama anableed sana, amekuwa akichoma sindano za kukausha lakini ni mwaka sasa hakuna matumaini. tafadhali mwenye kujua/Kuexperience tatizo hili na tiba yake naomba mnisaidie maana hata huduma sipati.
 
Mh aisee! ! Hatareee, ajaribu ku consult mababu wa kwao kabisa.
 
Hz ni athari za uzazi wa mpango mpele kwa doctor bingwa wa wanawake atapona,ni kawaida wala uchofu atapona
 
Pole nadhani kuna tatizo la hormone imbalance, au kuna uvimbe ndani ya tumbo la uzazi . kwani Alisha check kwa ultra sound?. kama bado aende acheki atapata jibu. Au sivyo Nitafute nitakupa pendekezo la namna ya kutatua tatizo hilo. No 255 689 417 472.
 
Hz ni athari za uzazi wa mpango mpele kwa doctor bingwa wa wanawake atapona,ni kawaida wala uchofu atapona

Mwenyewe nilishaanza kuhisi kuwa itakuwa ni sindano za uzazi wa mpango nimemwambia aache kutumia. ahsante
 
Ultrasound alishawah kucheki ilikuwa normal, Mr II nitakucheki soon
 
Pole sana mkuu,mweke muumba wako mbele na fuata ushauri wa kitaalamu pia atapona,take heart
 
Kubleed maanake ni kutoka damu sasa hebu eleza zinatoka wapi? Anapata maumivu? Mzunguko wake wa hedhi ukoje? Anatoka uchafu ukeni? Kuna sehemu nyingine mwilini anatoka damu?
 
Habarin wan JF,
Mke wangu akifanya kazi yoyote ya kuinama anableed sana, amekuwa akichoma sindano za kukausha lakini ni mwaka sasa hakuna matumaini. tafadhali mwenye kujua/Kuexperience tatizo hili na tiba yake naomba mnisaidie maana hata huduma sipati.
Tutaweza vipi kukusaidia wakati hujaeleza uwazi wa maneno yako? Anatokwa na Damu kwa sababu zipi?anachomwa sindano za kukausha nini? kwa huo muda wa mwaka mzima alipokwenda hospitali ameambiwa ana maradhi gani? ninaomba kwanza unijibu maswali yangu.
 
Habarin wan JF,
Mke wangu akifanya kazi yoyote ya kuinama anableed sana, amekuwa akichoma sindano za kukausha lakini ni mwaka sasa hakuna matumaini. tafadhali mwenye kujua/Kuexperience tatizo hili na tiba yake naomba mnisaidie maana hata huduma sipati.

Cheki Pia na EBOLA!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Haraka sana, tumia juice ya mananasi changanya na limao nusu kwa nusu, ongezea na mdalasini nusu kijiko cha chai kwa kila glasi, kunywa kutwa mara tatu pia kula mapapai kwa wingi.

Itachukuwa wiki mpaka wiki mbili kukaa sawa. Ikishindikana muone daktari bingwa.
 
In short akifanya kazi yoyote ya kuinama kama, kufua, kudeki, kufagia uwanja yaan atalalamika kiuno na anableed kama hedh, smtms hutoka uchafu kwny uke km mabonge mabonge flan ya dam. mwaka jana tulipoend hsptl dkt alisema kuna uvimbe ulianza kwny njia ya uzaz akamtibu na kuchoma sindano ya kuzuia bleed na kuondoa uvimbe. baadaye akapumzika km miez8 hivi, sasa tatizo limejirudia tena, tuliporudi hsptl kuchek km kuna uvimbe tena ultrasaund ilionyesha normal akachomwa tu sindano ya kukausha damu. baada ya mwez mmoja tatizo limeanza tena yaan hakuna raha kabisa yeye ndo amekata tamaa kabisa nikimshauri turudi hospital hataki. ndo nikaja jf kuomba ushauri/msaada kama kuna anayejua dawa ya asili au ya kitaalam anisaidie ninunue na kumshawishi kunywa ili kumaliza tatizo hili. asante.
 
Haraka sana, tumia juice ya mananasi changanya na limao nusu kwa nusu, ongezea na mdalasini nusu kijiko cha chai kwa kila glasi, kunywa kutwa mara tatu pia kula mapapai kwa wingi.

Itachukuwa wiki mpaka wiki mbili kukaa sawa. Ikishindikana muone daktari bingwa.

Sawa mkuu nimekupata.
 
Back
Top Bottom