kabintispecial
Member
- Feb 16, 2014
- 67
- 31
Sawa mkuu nimekupata.
Ata huyu ni doctor mzuri anaitwa kapotolo..!
Sawa mkuu nimekupata.
Habarin wan JF,
Mke wangu akifanya kazi yoyote ya kuinama anableed sana, amekuwa akichoma sindano za kukausha lakini ni mwaka sasa hakuna matumaini. tafadhali mwenye kujua/Kuexperience tatizo hili na tiba yake naomba mnisaidie maana hata huduma sipati.