projectman
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 349
- 486
inawezekana izi dawa za siku izi zimeanza kuwa feki!
RANDOM SLEEPING ITAWACHANGANYA MBU......HII IMENIFURAHISHA KWELI KWELI.....GUARDS, WAO WANA "RANDOM PATROL", AIMING TO CONFUSE INTRUDERS....Uwe unarudi saa nane usiku alaf usiwashe taa, ukiingia ndani make sure una nyata kama paka, alaf ulale chini ya uvungu, you will comfuse them.
Kuna hii kitu ya kichina,unachomea ndani baada ya nusu saa sio mbu,nzi,buibui,mende,kunguni,chawa wala dudu yoyote itakuwa hai humo ndani.