Msaada tafadhali kwa waliokwishanunua/wanaofahamu

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
1,002
274
WanaJF wenzangu mambo vp natumai kuwa hamjambo.Japo sii sehemu ya biashara ila naomba mnisaidie kwa waliokwishanunua au wanaofahamu bei ya hizi LCD tv aina ya Sony inch 42 na 52 pamoja na Samsung inch 42 na 52 tafadhalini nisaidieni wazoefu wa hayo madude ili nisije nikashikishwa!!!!!!!
 
Inategemea na duka gani unalonunua bei za kuanzia ni 1.5m na kuendelea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom