Msaada kwa mafundi wa Tv

uzeebusara

JF-Expert Member
Apr 15, 2013
657
514
Habari zenu
Naomba msaada wa kiufundi (technical knowhow) wa mafundi wa Tv yangu Lcd, aina ya LG inch 52 kama sijakosea. Model no 32LC2D~AA imekuwa na tatizo la ukiiwasha inachelewa sana kuwaka. Lakini inakuwa katika taa yake ya kushoto ya kuonyesha imewaka inawaka na kuzima ikitoa mlio wa tik~tak tik~tak kadiri siku zinavyozidi naona muda wa kuwaka inazidi kuchelewa. Mwanzo ilikuwa ikifanya hivi kwa dakika 5 lakini kwa sasa inafika hadi dakika 40 na..
Mwanzo nilijua labda umeme mdogo nikanunua stabilizer ya uwezo wa 1500W hali imebaki kuwa hivyo hivyo kwa hiyo ishu sio imeme bali Tv yenyewe. Je tatizo hili lawwza kuwa ni nini na wenye ufahamu naomba msaada wenu wa kumaliza tatizo hili kwani linakera sana. Na tatizo hili kwa mfano baada ya kuwaka ukiizima au kukatika umeme, umeme au ukiiwasha tena inabidi uwe na subira hivyo hivyo tena
Nawasilisha
 
Back
Top Bottom