Msaada tafadhali kuhusu vazi hili la Diamond

yello masai

JF-Expert Member
Jan 8, 2016
3,636
3,662
Salama wadau?
Anayejua bei ya hili vazi naomba aniambie.
Pia naomba ushauri, vipi linafaa au linapendeza kwa harusi?

4a80a65c7a4e7687532915e4fe2f87a7.jpg
 
kuna baadhi ya wabongo ni waajabu sanaaaa....hivi ww bei zake ukijua itakusaidia nini??????
hivi ww unaacha kufatilia bei ya dona...unafatilia upuuzi wa mtu na life lake..
acha hizo mkuuuu
Acha kupanikii na wew kwanii watu huish kwa ajilii ya donaa tu!?, au kisa kauliza diamond!?
 
Back
Top Bottom