Msaada tafadhali kuhusu vazi hili la Diamond

Jina lako zuri lakini mawazo ya kitumwa. Uvae kihindi au kiaarabu kwenye harusi yako ili iweje? Kwanini usitangaze utamadani wako wa kitanzania? Ulishaona mhindi amevaa shuka la kimasai hata kama akiwa dukani kwake achilia mbali kwenye harusi yake?
 
Jina lako zuri lakini mawazo ya kitumwa. Uvae kihindi au kiaarabu wenye harusi yako ili iweje? Kwanini usitangaze utamadani wako wa kitanzania? Ulishaona mhindi amevaa shuka la kimasai hata kama aliwa dukani kwake achilia mbali kwenye harusi yake?
Sawa mkuu. We Tangaza utamaduni. Mimi niache nivae kihindi. Natangaza utamaduni for what sasa wakati nchi yangu hata mchakato wa vazi la taifa umefeli.
Maisha yanakuwa mazuri pale unapofanya kile moyo unachopenda.
 
Cheki na kina somji wanayauza pale kisutu. Amini nakuambia ukienda kuulizia watajua wewe ni dereva wa mhindi mwenzao na ndiye kakutuma. Tegemea kukutana na swali hili." Kwani hiyo boss yako iko refu, fupi, nene au dogo dogo? Maana wanajua you don't deserve it
 
Na ukitaka yawe magumu fanya kile watu wanachopenda.
 
Cheki na kina somji wanayauza pale kisutu. Amini nakuambia ukienda kuulizia watajua wewe ni dereva wa mhindi mwenzao na ndiye kakutuma. Tegemea kukutana na swali hili." Kwani hiyo boss yako iko refu, fupi, nene au dogo dogo? Maana wanajua you don't deserve it
kumbe wanayauza kisutu. Nilekeze vzr mkuu tafadhali
 
Back
Top Bottom