Keyboard ya laptop yangu hai function na hata nikiweka external keyboard msaada jamani


elmagnifico

elmagnifico

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Messages
7,894
Likes
7,574
Points
280
Age
30
elmagnifico

elmagnifico

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2011
7,894 7,574 280
Wadau nina laptop ya sony vaio mabayo nina itumia kwa mwaka sasa, kuna siku window iliji update comp ilipo restart keyboard ikawa haifanyi kazi laba letter q,w,e,r,t na z,x,c basi. Ikawaweka external kwyboard still hakuna kitu sasa sijui tatizo ni nini. Ukiclick button inatoa mlio wa kubip hata kama umeweka external keyboard.
 
sijui nini

sijui nini

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2010
Messages
2,417
Likes
364
Points
180
sijui nini

sijui nini

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2010
2,417 364 180
mouse si bado inafanya kazi...?? Uninstall hizo updates zilizoingia kwanza...hiyo ndo itakuwa ndio njia ya kwanza kukuhakikishia kama tatizo ni software (updates) au hardware (your keyboard)...unawza fanya system restore pia kwenye tarehe za nyuma..
 
elmagnifico

elmagnifico

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Messages
7,894
Likes
7,574
Points
280
Age
30
elmagnifico

elmagnifico

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2011
7,894 7,574 280
nimejaribu yote hayo lakini wapi
 
sijui nini

sijui nini

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2010
Messages
2,417
Likes
364
Points
180
sijui nini

sijui nini

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2010
2,417 364 180
umejaribu kuingia kwa safe mode??
 
elmagnifico

elmagnifico

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Messages
7,894
Likes
7,574
Points
280
Age
30
elmagnifico

elmagnifico

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2011
7,894 7,574 280
hapana nashindwa kwa kuwa hata wakati waku boot ukipress any key hairespond kwa f8 walaany key
 
sijui nini

sijui nini

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2010
Messages
2,417
Likes
364
Points
180
sijui nini

sijui nini

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2010
2,417 364 180
ok..jaribu njia hizi
1. washa pc ukiwa umeweka hiyo external keyboard hakikisha window imetambua kuna usb device imekuwa connected ikibidi ichomeke uwashe pc na ikishawaka kabisa restart wakati keyboard ikiwa umeichomeka then angalia ufanyaji kazi wake kama unalingana na ule wa keyboard ya kawaida..kama inafana (yaan button zinazofanya kazi ni zile zile kama za hiyo keyboard ya pc) basi kuna tatizo kwenye system nzima ya pc yako na hapo suluhisho ni either ku repair window au fanya new installation kabisa...sababu umesema ku restore hakujafanikiwa...
2. kama haufanani (kama external inafanya kazi vizuri tu) basi ujue tatizo ni hiyo keyboard yake imekufa baadhi ya njia zake...au kama ulishawahi kuiangusha au kudondoshea maji...so option hapo ni kubadili keyboard kama sio kuendelea kutumia hiyo external..
 

Forum statistics

Threads 1,236,219
Members 475,029
Posts 29,250,263