Msaada tafadhali: Jiwe hili lina madini yoyote au ni jiwe la kawaida tu?

Watu wanakutegeshea vitu na wewe unaokota tu kibwege ukianza kuburuzwa kupelekwa gesti usianze kupiga mayowe
 
Ila watu wa humu jf wananiachaga hoi sana. Anyway siku si nyingi ntawapa mrejesho ili iwe fundisho kwa wote mnaobeza watu wanapoomba ushauri na msaada wa jambo flani.
 
Grandidierite - $20,000 per carat
Upo sahihi mkuu. Na hiyo carat kumbe ni ndogo kuliko gram nashukuru Mungu nimepata connection maana wengine walisema eti nataka kutapeli watu..!! Jamani kwani mimi nimesema natafuta mteja humu jf??? Mi niliuliza tu ni aina gani ya madini au ni jiwe coz nililiokota airport. Samahani wote niliowakwaza.
 
Mkuu mm ndo niliangusha hapo Airport
Naomba nirudishie
 
Back
Top Bottom