Mu7
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 1,654
- 2,002
Achl longolongo. Mlalamikaji atakuwa nani?kama una shamba na huna document yyote kuonyesha kuwa ww ndo mmiliki, basi umiliki huo ni batili, unatakiwa kufikishwa kwenye vyombo vya sheria, ueleze unamiliki vp ardhi bila kuwa na docs!!