Offline User
JF-Expert Member
- Dec 20, 2010
- 3,828
- 2,395
kama una shamba na huna document yyote kuonyesha kuwa ww ndo mmiliki, basi umiliki huo ni batili, unatakiwa kufikishwa kwenye vyombo vya sheria, ueleze unamiliki vp ardhi bila kuwa na docs!!
Salama tu.Kwanza inategemea eneo lako liko wapi.Kama liko ndani ya kijiji hati ya umiliki utakayoipata ni ya Kimila na hii eneo hilo lazima liwe na mpango bora wa matumizi,alafu mipaka ya eneo lako ndio inachukuliwa alafu unaandaliwa hati yako kwa Afisa Ardhi Mteule wa halmashauri husika.Jamani mambo vipi?
Nina shamba langu la hekari 5. Naitaji kupata Hati au document yoyote ya umiliki ya serikali.
Kuna yeyote anayejua mchakato wake anisaidie?
Nnaposema anakumilikisha sina maana ye ndio anatoa hati moja kwa moja bali yeye anakuandalia ankara ya malipo.utakayolipa alafu ndiio ukishalipia baadhi ya malipo kama registration fee,pesa ya deed plan na land rent na stamp duty anakupatia letter of aknowldgment(ilijulikana kama offer) then yeye anaziwasilisha kwa kamishna wa ardhi kwa ajili ya hati ya umiliki mjini.Yaan Granted Right Of OccupancySalama tu.Kwanza inategemea eneo lako liko wapi.Kama liko ndani ya kijiji hati ya umiliki utakayoipata ni ya Kimila na hii eneo hilo lazima liwe na mpango bora wa matumizi,alafu mipaka ya eneo lako ndio inachukuliwa alafu unaandaliwa hati yako kwa Afisa Ardhi Mteule wa halmashauri husika.
Kama Ardhi iko mjini unatakaa kuipima viwanja vya makazi basi unaandaliwa mchoro wa mipango miji alaafu unapitishwa kwenye kikao cha Uchumi kwenye halmashauri husika alafu unapelkwa wizarani kwa approval.Ukishakuwa approved unarudi alafu unafuata upimaji alafu nao unapelekwa kwa approval na wizara alafu ndio ukirudi basi Afisa Ardhi Mteule ndio anakumilikisha.
Well saidJamani mambo vipi?
Nina shamba langu la hekari 5. Naitaji kupata Hati au document yoyote ya umiliki ya serikali.
Kuna yeyote anayejua mchakato wake anisaidie?
hizi taratibu zimebadilika kidogo siku hizi hakuna offer....uliza vizuriNnaposema anakumilikisha sina maana ye ndio anatoa hati moja kwa moja bali yeye anakuandalia ankara ya malipo.utakayolipa alafu ndiio ukishalipia baadhi ya malipo kama registration fee,pesa ya deed plan na land rent na stamp duty anakupatia letter of aknowldgment(ilijulikana kama offer) then yeye anaziwasilisha kwa kamishna wa ardhi kwa ajili ya hati ya umiliki mjini.Yaan Granted Right Of Occupancy
Nenda halmashauri yako mkuu utapewa taratibu zote, kama pamepimwa ni rahisi sana vinginevyo itachukua muda sana
Hamisha uzi jukwaa sahihi kwanza ndo utapata majibu chap.Naombeni msaada wenu wana jamvi nahitaji kujua procedures za kufuata ili kupata hati ya mashamba na nyumba
Naombeni msaada wenu wana jamvi nahitaji kujua procedures za kufuata ili kupata hati ya mashamba na nyumba