Haitasaidia Akikutajia. Kwanza Akwambie Ili iweje na wakat unajua Ads Zipo kwenye Simu zote [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Ungetaja na sim unayo tumia ingekua vzuri
Wakuu nadhani uzi kama huu upo humu ila nmejaribu kuutafuta sijafanikiwa kuupata bt kama nlvotangulia kuutanabaisha hapo juu nahtaj msaada wenu nawezaj kuondoka kabsa haya matangazo maana kila nkiwasha data yanakuja
kama simu yako haiko rooted download Adclear kesi yako itakuwa imekwisha .hutaona matangazo .ila kama iko rooted download Adway au luckpacherWakuu nadhani uzi kama huu upo humu ila nmejaribu kuutafuta sijafanikiwa kuupata bt kama nlvotangulia kuutanabaisha hapo juu nahtaj msaada wenu nawezaj kuondoka kabsa haya matangazo maana kila nkiwasha data yanakuja
We jamaa banaHaitasaidia Akikutajia. Kwanza Akwambie Ili iweje na wakat unajua Ads Zipo kwenye Simu zote [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]