Msaada tafadhali iphone 4G

Msaada tafadhali iphone 4G

faby

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2011
Posts
2,214
Reaction score
768
Wakuu ImageUploadedByJamiiForums1368660205.284692.jpgImageUploadedByJamiiForums1368660218.827681.jpgSimu yangu leo kutwa nzima imekataa kuwaka, ilizimika ghafla tu then nikiwasha inakuja logo ya apple lakini haiwaki. Nime jaribu kobenyeza kwa pamoja kitufe cha kuwasha/kuzima ya juu na kitufe cha "home" kwa pamoja lakini haijakubali! Msaada please
 
Rudi kwenye tecno mambo haya huyaweZi
 
Jaribu hii..
Step 1. Connect simu yako kwenye Pc na usubiri itoe mlio wa kuconnect na kudisconnect(sikiliza kwa makini).
Step 2. Shikilia home and power buttons hadi usikie mlio wa kudisconnect halafu achia power button.
Step 3. Subiri hadi utakaposikia mlio mwingine ndio uachie home button.

Ikigoma jaribu hii:-

Step 1. Zima simu yako
Step 2. Shikilia home and power buttons.
Step 3. Ukiona alama ya apple ndio uachie power button lakini endelea kushikilia home button.
Step 4. Fungua iTunes na subiri itakuambia kwenye restore mode.
Ikikataa tena njoo,kuna njia ya kutumia applications kama Red snow etc
 
Nimejaribu njia zote imekataa inakuja alama ya apple tu
 
Mcheki ray05 hapo anasound kuwa anajua anachofanya kutokana na maelezo yake, ningekusaidia lkn kwa sasa niko mbali na town.

Sent from my BlackBerry Bold Touch 9930 using Tapatalk
 
Nimejaribu njia zote imekataa inakuja alama ya apple tu

Jaribu tena hivi:-
1. Chomeka iphone yako kwenye Computer.
2. Zima simu yako.
3. Fuata maelezo yangu kwenye post yangu ya juu kwa kutumia Itune(put your phone into DFU mode)make sure hadi itune ikwambie simu yako ipo kwenye recovery mode.
4. Run 'redsn0w program' kwenye Computer yako.
5. Nenda kwenye 'Extras' na chagua 'Just Boot'
6. Kuanzia hapa Endelea tu kufuata maelekezo vizuri na simu yako itawaka

Download redsnow hapa www.iphonehacks.com/download-redsn0w au hapa www.blog.iphone-dev.org/ (angalia chini kabisa).
NB: kuwa makini na rudia rudia nata kadhaa kama ikigoma at first
 
Ok nashukuru nitajaribu hivi then nitakujulisha
 
connect smu kwenye itunes !shikilia home buton na ya hapo juu kwa pa1 mpaka izme... ikikwambia slide to power off usislide... Endelea kushkilia button hzo! Itazma ila endelea kushkilia button mpaka itajiwasha na kukuandikia itunes (recovery Mode) I Phone nyngne huwa znaweka alama ya cable na cd na nyngne alama ya cable na i tune... Kule kwenye computer itakupa option ya ku restore inahtaj uwe na internet ya kutosha... So kama internet yako ya mashaka itakuzngua coz i tunes itadownload file la kama mb si chini ya 400 kutegemea na version ya ios inayosuit kwenye cmu gan , na i tunes haina speed ya kudownload kama IDM so Itakua Slow Kdogo! Kama network yako n ya mashaka itabd u restore Manualy kwa ku downloa mafile Ya IPSW Kwenye Pc then ufuate same process ya Kuzma kwa kushkilia home Buton na hyo lock button kwa pamoja ikzma vle na kukuletea alama ya I Tunes hapo hold CTRL button au SHIFT kama unatumia Mac Book ,...Then open file lako la IPSW lilipo then liselect! hapo itakua very easy ....itaanza ku restore ynyewe...

Sjajua unatumia i phone 4 ipi! Ila mafile ya IPSW ANgalia Kwenye Link Hii hapa chin.. Chagua lnaloendana na smu yako

Download I Phone IPSW Files
 
Asanteni sana kwa wote simu imewaka na ime change to newer version ios 6
 
Asanteni sana kwa wote simu imewaka na ime change to newer version ios 6

Sasa na wewe vp,simu imewaka kimiujiza? Sema umetumia njia ipi kati ya hizo ulizopewa(au nyingine) coz kuna wengine wanahitaji msaada pia.
 
Jamani sijui mishamba? Mbona sijawahi kuiikia iPhone 4G? Mi nimezisikia iPhone, halafu iPhone3G halafu 3GS halafu iPhone 4 baadae 4S nadhani hapo ndo hiyo 4G sikuisikia nikaisika iPhone 5.Samahani lakini kwa hiyo ipoje ipoje? (Kuuliza si ujinga, bali ni ushamba-Mchizi Mox)
 
Jaribu tena hivi:-
1. Chomeka iphone yako kwenye Computer.
2. Zima simu yako.
3. Fuata maelezo yangu kwenye post yangu ya juu kwa kutumia Itune(put your phone into DFU mode)make sure hadi itune ikwambie simu yako ipo kwenye recovery mode.
4. Run 'redsn0w program' kwenye Computer yako.
5. Nenda kwenye 'Extras' na chagua 'Just Boot'
6. Kuanzia hapa Endelea tu kufuata maelekezo vizuri na simu yako itawaka

Download redsnow hapa www.iphonehacks.com/download-redsn0w au hapa www.blog.iphone-dev.org/ (angalia chini kabisa).
NB: kuwa makini na rudia rudia nata kadhaa kama ikigoma at first

Nikifanya hivyo, nili connect kwenye itunes nilizima simu then nikasubiri mpaka itunes ikasema simu yangu ipo kwenye RECOVERY MODE. Thats it
 
Wakuu View attachment 93909View attachment 93910Simu yangu leo kutwa nzima imekataa kuwaka, ilizimika ghafla tu then nikiwasha inakuja logo ya apple lakini haiwaki. Nime jaribu kobenyeza kwa pamoja kitufe cha kuwasha/kuzima ya juu na kitufe cha "home" kwa pamoja lakini haijakubali! Msaada please

i tunes inahtajka hapo

Rudi kwenye tecno mambo haya huyaweZi

Ya nini?toa maelezo yenye kueleweka.

Nimejaribu njia zote imekataa inakuja alama ya apple tu

Ok nashukuru nitajaribu hivi then nitakujulisha

Asanteni sana kwa wote simu imewaka na ime change to newer version ios 6

Hii ndo sababu ninaipenda JF

Ni tatizo kubwa lakini rahisi tu kulitatua. Ungeenda kwa mafundi pengine ungetumia hela nyingi kuliko bundle ya internet miezi 3!
Kwa hiyo ukiwa makini, kupitia JF, unaweza kuokoa hela nyingi kuliko ulizonunulia smartphone au laptop yako!
 
kweli hapa ni home of great thinkers.... hakuna kitu inashindikana
 
Iache itawaka yenyewe .. Mm nina i phone 4 ilistaki hivyo hivyo skupeleka kwa fundi within 2 days ikawaka yenyewe .. So watch out wataiharibu
 
Hii ndo sababu ninaipenda JF

Ni tatizo kubwa lakini rahisi tu kulitatua. Ungeenda kwa mafundi pengine ungetumia hela nyingi kuliko bundle ya internet miezi 3!
Kwa hiyo ukiwa makini, kupitia JF, unaweza kuokoa hela nyingi kuliko ulizonunulia smartphone au laptop yako!

JF ni mpango mzima
 
Back
Top Bottom