Msaada tafadhal

Msaada tafadhal

I have the same problem on my dell desktop! Ninachokifanya ni kuzima computer kisha nachomoa RAM na kuichomeka tena kisha nawasha computer naendelea kutumia na maisha yanaendele.
 
Hapo bado haujasolve tatizo ila unatengeneza tatizo. Hiyo ya kuchomoa RAM chomeka ipo siku utaharibu RAM au Slot za RAM ambapo itakugharimu kununua RAM mpya au kurepair slot za RAM.
Ni sawa mtu kaona tatizo la battery (Plugged in, not charging) lkn bado anatumia tu na matokeo yake anajikuta ananunua adapter mpya na battery mpya
Kama PC yako umeichoka fanya kuchomoa RAM na kuweka (Suluhu install clean window litaisha)
 
Nimekupata vizuri sana mkuu! Nashukuru kwa ushauri
 
Nashukuru kwa kulielewa hilo.
Siku zote inabidi utatue tatizo na siyo kulikwepa tatizo. Issue za Tech kadri unavyolea tatizo ndivyo unavyozalisha tatizo jingine.
 
Back
Top Bottom