Nrangoo
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 3,352
- 5,250
hahahha. hiyo ndio wanayoiita mikopo umiza au, maana kurudisha ni mbinde mwisho wa siku wanataifisha dhamana yako. nyumba au shambaNjoo tuongee ila kurudisha unarudisha 4m
hahahha. hiyo ndio wanayoiita mikopo umiza au, maana kurudisha ni mbinde mwisho wa siku wanataifisha dhamana yako. nyumba au shambaNjoo tuongee ila kurudisha unarudisha 4m
Basi hamna haja ya kufanya hiyo biasharaNimeshaanza, nipo mwanzoni. Nimechukua frame, nimeweka mzigo kidogo. Nataka kuongezea. Licha ya hivyo sitegemei biashara kulipa mkopo, nategemea mishahara wangu!
Mpumbavu wewe..Njoo tuongee ila kurudisha unarudisha 4m
Riba ya wapi hii?
Au na TAKUKURU nao wanaingia humo na kuiita mikopo CHEFUCHEFU na hatimaye mkopeahaji na mkopaji mnakutana kwa KAMANDA!hahahha. hiyo ndio wanayoiita mikopo umiza au, maana kurudisha ni mbinde mwisho wa siku wanataifisha dhamana yako. nyumba au shamba