Msaada: Taasisi gani naweza pata mkopo wa Tsh Milioni 2

hahahha. hiyo ndio wanayoiita mikopo umiza au, maana kurudisha ni mbinde mwisho wa siku wanataifisha dhamana yako. nyumba au shamba
Au na TAKUKURU nao wanaingia humo na kuiita mikopo CHEFUCHEFU na hatimaye mkopeahaji na mkopaji mnakutana kwa KAMANDA!
 
Back
Top Bottom