sikiolakufa
JF-Expert Member
- Feb 1, 2010
- 411
- 55
wakuu hii simu nimeiona pale mlimani city....je nataka kufahamu capacity yake na je ni smart phone kweli kama blackberry? nataka kununua...kawaid simu zangu huwa naziunganisha na mtandao wa bank na wasiwasi je hii touch screen inaweza kuwa compatible na bank za hapa?