Msaada Soko la Dagaa Wachafu/chakula cha kuku

ZionTZ

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2009
Posts
1,282
Reaction score
541
wakuu heshima yenu,

natafuta soko la dagaa wachafu ambao hutumika kutengenezea chakula cha kuku

mzigo unapatikana kuanzia tani tano hadi kumi, kwa yeyote alie na mawasiliano na watu wenye viwanda vikubwa

vya kutengenezea chakula cha kuku nijulisheni pls. unaweza nipa mawasiliano yao au kunielekeza kiwanda kilipo, hata

kama unamjua dalali anaehusika na dagaa wachafu pia ntashukuru ukinipa mawasiliano yake.
 
Yaani dagaa wachafu ndjiyo kiwe chakula cha kuku?, hao kuku wataliwa na nani?, kwahiyo umedanganywa kuwa kuku wanalishwa uchafu?, nyie ndo mnawafanya wafugaji wasipate faida....
 
kaka wanaitwa hivyo ila si kwamba ni wachafu, yani wasafi ni wale mnaouziwa sokoni then wachafu ni wale ambao si grade ya kwanza. kuku anahitaji madini ya chuma so si lazma usage wale wa daraja la kwanza, itakua gharama sana. hata mapanki(mabaki ya sato) yanatumika kutengeneza chakula cha kuku.
 
Kaka dagaa wachafu ni sumu inabidi wateketezwe halafu we unauza vitu substandad?
 
Tani moja unanunua shilingi. Mie shangazi yangu anafuga bata na sungura. Lakini anaishi Mbozi hukoooooo karibu na Matema Beach. Vipi unaweza kumfikia?
 
wakuu heshima yenu,

natafuta soko la dagaa wachafu ambao hutumika kutengenezea chakula cha kuku

mzigo unapatikana kuanzia tani tano hadi kumi, kwa yeyote alie na mawasiliano na watu wenye viwanda vikubwa

vya kutengenezea chakula cha kuku nijulisheni pls. unaweza nipa mawasiliano yao au kunielekeza kiwanda kilipo, hata

kama unamjua dalali anaehusika na dagaa wachafu pia ntashukuru ukinipa mawasiliano yake.
 
Kaka dagaa wachafu ni sumu inabidi wateketezwe halafu we unauza vitu substandad?

SI SUMU KAKA, HILO NI GRADE NAME TU, NI SAWA NA KUITA WALE WA SOKONI GRADE A NA HAWA WA VYAKULA VYA KUKU GRADE B THATS ALL. Lakini si kwamba wachafu like wanamauchafu au vinginevyo.
 
Chakula cha kuku hakitengenezwi na dagaa wachafu. Viwanda vinatumia dagaa safi sidhani kama utapata soko labda uende kariakoo shimoni huwa wanauza mavumbi ya dagaa na dagaa wachafu.
wakuu heshima yenu,

natafuta soko la dagaa wachafu ambao hutumika kutengenezea chakula cha kuku

mzigo unapatikana kuanzia tani tano hadi kumi, kwa yeyote alie na mawasiliano na watu wenye viwanda vikubwa

vya kutengenezea chakula cha kuku nijulisheni pls. unaweza nipa mawasiliano yao au kunielekeza kiwanda kilipo, hata

kama unamjua dalali anaehusika na dagaa wachafu pia ntashukuru ukinipa mawasiliano yake.
 
Chakula cha kuku hakitengenezwi na dagaa wachafu. Viwanda vinatumia dagaa safi sidhani kama utapata soko labda uende kariakoo shimoni huwa wanauza mavumbi ya dagaa na dagaa wachafu.

wanaojua washanijibu kaka, asante sana kwa ushirikiano
 
Yaani dagaa wachafu ndjiyo kiwe chakula cha kuku?, hao kuku wataliwa na nani?, kwahiyo umedanganywa kuwa kuku wanalishwa uchafu?, nyie ndo mnawafanya wafugaji wasipate faida....
huna uju alo wewe ungetuliza mshono wafugaji tuje
 
kaka wanaitwa hivyo ila si kwamba ni wachafu, yani wasafi ni wale mnaouziwa sokoni then wachafu ni wale ambao si grade ya kwanza. kuku anahitaji madini ya chuma so si lazma usage wale wa daraja la kwanza, itakua gharama sana. hata mapanki(mabaki ya sato) yanatumika kutengeneza chakula cha kuku.
ivi protin ndo madini ya chuma???
 
wakuu heshima yenu,

natafuta soko la dagaa wachafu ambao hutumika kutengenezea chakula cha kuku

mzigo unapatikana kuanzia tani tano hadi kumi, kwa yeyote alie na mawasiliano na watu wenye viwanda vikubwa

vya kutengenezea chakula cha kuku nijulisheni pls. unaweza nipa mawasiliano yao au kunielekeza kiwanda kilipo, hata

kama unamjua dalali anaehusika na dagaa wachafu pia ntashukuru ukinipa mawasiliano yake.
tan moja una uzaje baba????
 
Hawaitwi dagaa wachafu, huitwa dagaa wa mifugo
 
Back
Top Bottom