<br />je ni smartphone? Au java enabled phone?
Asalaam wana T,G & S
kasimu kangu ka LG haka-play wala ku-upload video
mwenye ufaham site gani naweza nikapata intallation software kuwezesha viewing,playing, .....
Je simu yako ina stream settings? Kama ndiyo nenda kwenye personal configurations then select 'my stream' pia inategemea na mtandao unaotumia mara nyingi tigo wanasumbua! Kama unatumia tigo jaribu voda!!
Sidhani kama inatakiwa kusumbua. hizo video unazo uploa d zio katika format gani??? Soma documenation ya hiyo simu. maana 3gp au mp4 na h.264 ndio video file format zinakubalika kwenye mobile device nyingilg t300
<br />Je simu yako ina stream settings? Kama ndiyo nenda kwenye personal configurations then select 'my stream' pia inategemea na mtandao unaotumia mara nyingi tigo wanasumbua! Kama unatumia tigo jaribu voda!!
unashindwa kuPlay video files au unataka ku Upload video files?<br />
<br />
Mkuu mi nimefanya kama ulivyoelekeza hapo nimekutana na neno hili "ComfigContext" na kwenye options kuna delete-help-exit. Natumia Nokia N95 mtandao wa TiGO. Nifanyeje hapo Mkuu?
ukitaka video player, fuata hizi steps uweze kuDownload..lg t300
Sidhani kama inatakiwa kusumbua. hizo video unazo uploa d zio katika format gani??? Soma documenation ya hiyo simu. maana 3gp au mp4 na h.264 ndio video file format zinakubalika kwenye mobile device nyingi
jaribu ku Instal EMTube ya s60v3 itakusaidia kuSearch, Play and Download youtube videos from ur phone.download link hii hapa http://download.20ic.com/ss0906/emTube1.0.11.sisx .ku Upload picha zako au mafile kutoka kwenye simu yako maranyingi uwe unatumia inbuilt browser ya simu ya kwasababu ina uwezo wa ku Explore Internal Directory na Drives zote za simu yako hivyo utaweza kuLocate file lako na kuliUpload..maranyingi browser zingine kama Operamini na Bolt Browser zinashindwa kufanya hivyo'...Jamani wadau natumia Nokia E61i series haiwezi kucheza yuotube na cwezi ku uplod picha kwenye matukio au Facebook msaada tafadhali maana cjajua ni hii cm.ya zamani sana au nimeachwa mbali.
Msaada tafadhali kwa wenye maujuzi yao
couple of things you need to do to make it work. firstly you have to go into the settings in real player on the phone and set the default access point to the same one that you will be using to connect on you tube. next make sure you have your phone with the normal profile set with warning tones on. when you go into you tube and connect make sure its the same connection as the one you set in real player. it should now work. ..
chanzo Can't play a video on my Nokia E61 with youtube mobile? - Yahoo! Answers
.................YouTube
On the old E61, I cannot play YouTube videos in the default Nokia web browser. While using the E71x, I accidentally clicked a YouTube link on Google News only to have a video open and play in the default browser. It was quite impressive. Video and audio quality were about what Id expect from a mobile device. Interestingly going to YouTube will play videos using both the built-in Real Player and via Adobe Flash in the browser. Google also has a Nokia-specific YouTube application that can be downloaded from Googles site. It allows for search and video playback. Again, all of this was to my pleasant surprise. ......
Chanzo Nokia E71x Day 5: Bluetooth, Google Maps, YouTube, Web Browsing, and VoIP : Hisham's Blog
thanx, nimeweza kufanya settingJe simu yako ina stream settings? Kama ndiyo nenda kwenye personal configurations then select 'my stream' pia inategemea na mtandao unaotumia mara nyingi tigo wanasumbua! Kama unatumia tigo jaribu voda!!