Msaada: software ya kuview&kuplay video kwenye simu

Msaada: software ya kuview&kuplay video kwenye simu

Bei Mbaya

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2010
Posts
2,262
Reaction score
854
Asalaam wana T,G & S

kasimu kangu ka LG haka-play wala ku-upload video

mwenye ufaham site gani naweza nikapata intallation software kuwezesha viewing,playing, .....
 
je ni smartphone? Au java enabled phone?
 
Asalaam wana T,G & S

kasimu kangu ka LG haka-play wala ku-upload video

mwenye ufaham site gani naweza nikapata intallation software kuwezesha viewing,playing, .....

Huwezi kupata jibu na msaada wa uhakiak bila kutaja model ya hiyo LG . Ni sawa kusema untafuta tairi ya toyota. Majibu utayopata ni kubahatisha zaidi. La sivyo nenda tovuti ya LGmobile

huwezi kupata jibu na msaada wa uhakiak bila kutaja model ya hiyo lg . Ni sawa kusema untafuta tairi ya toyota. Majibu utayopata ni kubahatisha zaidi. La sivyo nenda tovuti ya lgmobile

lg t300
 
Mi natumia nokia 2700,sometime ina upload sometime inagoma,mwenye msaada wa mawazo pls!
 
Je simu yako ina stream settings? Kama ndiyo nenda kwenye personal configurations then select 'my stream' pia inategemea na mtandao unaotumia mara nyingi tigo wanasumbua! Kama unatumia tigo jaribu voda!!
 
nipo voda mkuu

ngoja nichek hiyo configuration+my stream.. ll' be back
 
Sidhani kama inatakiwa kusumbua. hizo video unazo uploa d zio katika format gani??? Soma documenation ya hiyo simu. maana 3gp au mp4 na h.264 ndio video file format zinakubalika kwenye mobile device nyingi

Nachohisi ni file format ya hizo video unazotaka kucheza ndio ina tatizo. I mean haikubaliki kwenye simu yako. So kama unaweza jaribu kuconvert hizo video file kwenda kwenye 3gp au mp4

Swali
je ukirekodi video kwa kutumia camera ya simu haichezi pia?

alafu jaribu kupakua ma file haya liweke kwenye simu utoe jibu kama yataagoma
http://www.mediafire.com/?4fd1jnjooyd
http://www.cellsea.com/video/detail/V4c0bb1e8afcf1.htm# - bofya sehemu imeadikwa pc download kisha endelea na maelekezo.

NB
Hizo ni file video format mbili tofati moja ni 3gp na nyingine ni mp4

Otherwise
Recomended video player kwenye Lg niliyowai kutumia ilikuwa ni DivX. so u can try this http://www.brothersoft.com/mobile/divx-mobile-media-download-13761.html
 
Je simu yako ina stream settings? Kama ndiyo nenda kwenye personal configurations then select 'my stream' pia inategemea na mtandao unaotumia mara nyingi tigo wanasumbua! Kama unatumia tigo jaribu voda!!
<br />
<br />
Mkuu mi nimefanya kama ulivyoelekeza hapo nimekutana na neno hili "ComfigContext" na kwenye options kuna delete-help-exit. Natumia Nokia N95 mtandao wa TiGO. Nifanyeje hapo Mkuu?
 
<br />
<br />
Mkuu mi nimefanya kama ulivyoelekeza hapo nimekutana na neno hili "ComfigContext" na kwenye options kuna delete-help-exit. Natumia Nokia N95 mtandao wa TiGO. Nifanyeje hapo Mkuu?
unashindwa kuPlay video files au unataka ku Upload video files?
 
Ndg zng kumbe wenye matatizo kama hayo tupo wengi mi natumia nokia 2700c-2 hata mi kuapload picha inanisumbua.wenye maujanja tusaidieni
 
ukitaka video player, fuata hizi steps uweze kuDownload..
fungua Browser yako, andika m.getjar.com, select 'Quick Download' chini kabisa ya page, ikitaka uingize code andika 166791 alafu download MMPlayer'....hiyo ikikataa, instal hii player kwenye attachments ni ya .jar ya java mobile phones..
 
Attachments

Sidhani kama inatakiwa kusumbua. hizo video unazo uploa d zio katika format gani??? Soma documenation ya hiyo simu. maana 3gp au mp4 na h.264 ndio video file format zinakubalika kwenye mobile device nyingi

video za kurekodi inaplay fresh

utata hizi za kuchukua huku na huko

pia video za youtube inazingua
 
Jamani wadau natumia Nokia E61i series haiwezi kucheza yuotube na cwezi ku uplod picha kwenye matukio au Facebook msaada tafadhali maana cjajua ni hii cm.ya zamani sana au nimeachwa mbali.
 
Jamani wadau natumia Nokia E61i series haiwezi kucheza yuotube na cwezi ku uplod picha kwenye matukio au Facebook msaada tafadhali maana cjajua ni hii cm.ya zamani sana au nimeachwa mbali.
jaribu ku Instal EMTube ya s60v3 itakusaidia kuSearch, Play and Download youtube videos from ur phone.download link hii hapa http://download.20ic.com/ss0906/emTube1.0.11.sisx .ku Upload picha zako au mafile kutoka kwenye simu yako maranyingi uwe unatumia inbuilt browser ya simu ya kwasababu ina uwezo wa ku Explore Internal Directory na Drives zote za simu yako hivyo utaweza kuLocate file lako na kuliUpload..maranyingi browser zingine kama Operamini na Bolt Browser zinashindwa kufanya hivyo'...
 
Msaada tafadhali kwa wenye maujuzi yao

Mkuu kama bado unakwmaa unaweza kujaribu kutembela official forum ya Nokia specifically kwa simu yako ya e61. HWa manufacure wana nline suppart unayoweza kuambiwa nini cha kufanya.

Otheriwise Nimejaribu ku-google chap chap hizi ni baadhi ya solution kama nimezipata kupita google. Kama hujazijaribu fanya mambo

I : Yahoo answers
:
couple of things you need to do to make it work. firstly you have to go into the settings in real player on the phone and set the default access point to the same one that you will be using to connect on you tube. next make sure you have your phone with the normal profile set with warning tones on. when you go into you tube and connect make sure its the same connection as the one you set in real player. it should now work. ..

chanzo Can't play a video on my Nokia E61 with youtube mobile? - Yahoo! Answers

II Blog ya mtaalam mmoja anasema hivi kuhusu Youtube na Nokia e61

.................YouTube

On the old E61, I cannot play YouTube videos in the default Nokia web browser. While using the E71x, I accidentally clicked a YouTube link on Google News only to have a video open and play in the default browser. It was quite impressive. Video and audio quality were about what I’d expect from a mobile device. Interestingly going to YouTube will play videos using both the built-in Real Player and via Adobe Flash in the browser. Google also has a Nokia-specific YouTube application that can be downloaded from Google’s site. It allows for search and video playback. Again, all of this was to my pleasant surprise. ......

Chanzo Nokia E71x Day 5: Bluetooth, Google Maps, YouTube, Web Browsing, and VoIP : Hisham's Blog
 
Je simu yako ina stream settings? Kama ndiyo nenda kwenye personal configurations then select 'my stream' pia inategemea na mtandao unaotumia mara nyingi tigo wanasumbua! Kama unatumia tigo jaribu voda!!
thanx, nimeweza kufanya setting
 
Back
Top Bottom