Msaada software ya kuondoa free space katika harddisk

Msaada software ya kuondoa free space katika harddisk

Ngalewa

Member
Joined
Jun 24, 2012
Posts
97
Reaction score
11
Wadau nina tatizo pc yangu katika localdisk c kuna space kama 9GB hivi haionekani sasa kama kuna software naweza rudisha hii space naombini msaada.
 
in total hiyo local disc C ina gb ngapi? mara ya mwisho windows ulifunga lini?
 
Back
Top Bottom