Huyu atakusaidia kabisaChief-Mkwawa njoo uniokoe
Asante sana mdau kwa kuuliza swali hili...Nina tatizo sawa na lako nadhani tutapata msaada hapa.Habari zenu wana jf.
Najua humu kuna wataalamu wa sm.
Mimi kisim changu kina zima na kuwaka ghafla pindi niitumiapo naitumia,
Ikisha zima huanza mwanzo
Nime restore Mara nyingi mno
Lakini wapi.
Pia Nina Huawei nayo huniandikia Android has stopped.
Sm has stopped
Hii inatokana na nini!?
Na nifanyeje?
Weka Cm Yako Ndani Ya Ndo Ya Maji Kwa Mda Wa Dakika Tano Hivi, Kisha Itoe Kwani Tatizo La Kuzima Na Kuwaka Ltakua Limekwisha Kabsa Na Simu Yako Itafanya Kazi Moja Tu Ya Kuwaka Au Kuzima Na Siyo Multifuctions. Jaribu Sasa
Simu yako ni aina gani? Uwe unataja full model inakua rahisi kukusaidiaHabari zenu wana jf.
Najua humu kuna wataalamu wa sm.
Mimi kisim changu kina zima na kuwaka ghafla pindi niitumiapo naitumia,
Ikisha zima huanza mwanzo
Nime restore Mara nyingi mno
Lakini wapi.
Pia Nina Huawei nayo huniandikia Android has stopped.
Sm has stopped
Hii inatokana na nini!?
Na nifanyeje?